ads

JIFUNZE NAMNA YA KUFICHA DATA ZAKO (STEGANOGRAPHY)

Ilikuweza kuwa na usalama na data zako ambazo umezihifadhi katika kifaa chako inakubidi kuwa na elimu kuhusiana na utunzaji wa data hizo ndo maana E TECHNOLOGY  inakuletea  mafunzo ya STEGANOGRAPHY





JE STEGANOGRAPHY NI NINI?
Hii ni sayansi itakayo kuwezesha kuficha ujumbe au data mbalimbali ambao waweza mtumia mtu au kuhifadhi ili mtu mwingine asielewe kuna kitu gani ndani ya encryption hiyo.

Naitakua ngumu mtu kufaamu kuna kitu gani humo zaiidi ya wewe uliyeficha (encrypter) na yule umtumia ujumbe huo .

Ambapo waweza badili mfano picha yako kuwa maandishi waweza ficha software katika mfumo wa audio au uka hifadhi video katika mfumo wa picha .


JE NTAWEZAJE KUFANYA STEGANOGRAPHY?
Itakubidi kupata software ambazo zitakuwezesha kufanya zoezi hili . zifuatazo ni baadhi ya software ambazo zitakusaidia kufanya zoezi hili

     .QUICKSTEGO   pakua hapa
   .AUDIOSTEGANO Pakua hapa
   .BITCYPT pakua hapa
   .MP3STEGO pakua hapa
   .STEGHIDE pakua hapa
   .AUDIOSTEGO pakua hapa    

kwa makala zaidi endele kufuatilia blog hii kuhusu elimu ya steganogrhy ili uweze kuitumia ...........  
JIFUNZE NAMNA YA KUFICHA DATA ZAKO (STEGANOGRAPHY) JIFUNZE NAMNA YA KUFICHA DATA ZAKO (STEGANOGRAPHY) Reviewed by Hyle Winza on 06:06:00 Rating: 5

No comments:

OUR LOGO

Copyright @2015 EdNel TZ. Theme images by caracterdesign. Powered by Blogger.