ads

JINSI GANI KIFAA CHAKO KINAVYOWEZA KUHARIBIWA NA ANDROID VIRUSES NA JINSI YA KUKILINDA-1


Android Viruses.watu wengi hawaongelei kuhusu hawa viruses lakini huwa na malalamiko mengi ambayo kimsingi hawawezi kuelezea,Na huwa ni kwamba simu zao zina viruses wa aina moja au nyingine, ndo maana nimeandaa hii topic kuwasaidia
android malware
katika mwaka 2013,virusi waliachiwa kwenye operating system mbalimbali.virusi hawa ni   malwares, Trojans na wengine wengi nitakao waelezea kwenye hii topic.
MAELEZO MAFUPI KUHUSU ANDROID VIRUSES
 
Kama virusi wengine ambao wanaweza kudhuru mfumo wa computer yako ,android viruses ni files,apps au hata codes ambazo huwa zinaweza kudhuru simu au kifaa chako na hufanya hivyo bila ridhaa yako kama kuiba data zako na hata kuziharibu.
Hawa virus wanaweza kuharibu vibaya kifaa chako ingawa google wamefanya juhudi kubwa kuhakikisha wanatengeneza android OS.Wengi wetu wanaamini vifaa vetu haviwezi haribiwa lakini OS ni OPEN SOURCE.

AINA YA ANDROID VIRUSES

Virusi wakubwa huwa ni malwares na trojans,ambao  wametengenezwa kwa files na codes,hivi sasa virui wanatengenezwa na codes na kuwekwa kwenye kifaa chako.hasa trojans na malwares.

Malwares

Malwares wanauwezo wa kuhack application ambayo tayari inshawekwa kwenye kifaa chako. hawa virus wanatumia web view component kwenye version ya 4.4 ya android ya zamani (kitkat) wanaonekana na niwakimya,haikupi taarifa kabla ya kudhuru,malwares  hutumia certificates kuingia kwenye kifaa chako

TROJANS

Trojan ni  smart kuliko wengine.kama trojans wakiingia kwenye kifaa chako wanakaa bila ya wewe kujua,ila ni kirus ambaye ni mgumu kuliko unavyofikiria,hawa ni hebu angalia hii aya kutoka wikipedia

“In August 2010, Kaspersky Lab reported a trojan designated Trojan-SMS.AndroidOS.FakePlayer.a. 
This was the first malicious program classified as a Trojan SMS that affects smartphones running on Google’s Android operating system, and which had already infected a number of mobile devices, sending SMS messages to premium rate numbers without the owner’s knowledge or consent, and accumulating huge bills
angalia kinvyoingia 

Trojan_permissions
tabia nyingine ya trojans ni kwamba hafutiki.Hii ni kwa sababu huwa vizuri kwenye kifaa chako lakini haonekani kwenye list ya application zako.kwa leo tuishie hapo.
JINSI GANI KIFAA CHAKO KINAVYOWEZA KUHARIBIWA NA ANDROID VIRUSES NA JINSI YA KUKILINDA-1 JINSI GANI KIFAA CHAKO KINAVYOWEZA KUHARIBIWA NA ANDROID VIRUSES NA JINSI YA KUKILINDA-1 Reviewed by ENDBOY on 03:54:00 Rating: 5

No comments:

OUR LOGO

Copyright @2015 EdNel TZ. Theme images by caracterdesign. Powered by Blogger.