IFAHAMU APP ITAKAYO KUSAIDIA KUCHUKUA NOTES UBAONI
Kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi hii app si ya kukosa inafanya kazi hizi.
1. kwa kutumia camera ya simu unapiga picha ya maandishi yoyote iwe ni kitabu au ubao (white board)
2. hii app itascan ile picha na kuitoa vizuri na quality kubwa
3. hii app ina built in ocr itaconvert ile picha kuja kuwa maandishi na kusave kama microsoft word au onenote
4. file litapelekwa automatic kwenye onedrive
5. kwa kutumia pc yako yenye onedrive utalipata pale pale na kuliedit unavyotaka wewe.

kwa maelezo zaidi angalia video hapa
waweza ipakua kwa adroid hapa kwa ios pakua hapa

Reviewed by Hyle Winza
on
12:41:00
Rating:
No comments: