ads

Jifunze namna ya kuangalia tv kwa smartphone yako au laptop

Kwa karne hii  gharama za upatikanaji tv channel mbalimbali zimekuwa ni za juu sana  na kupelekea  wapenzi wa burudani mbalimbali kutumia gharama kubwa kupata tv channel za kuwa burudisha.

Je ! wewe nimpenzi wa mpira, music, movies au tv series... E TECHNOLOGY inakuletea IPTV technology


IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. Hii ni aina ya uangaliaji TV kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha TV badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet. So waweza kuangalia tv kwa kutumia kifaa chako inaweza kuwa smartphone ,tablet ,laptop,desktop unacho hitaj ni kuwa na  internet yenye latency au ping ndogo  ili kuweza kupata live stream.

Ili kuweza kupata tv channel mbalimbali inakuhitaji ku install media centre itwayo KODI hii ni software  ambayo itawezesha kifaa chako kupata matangazo ya tv kuidownload waweza ipata hapa Download kodi
Ukisha install itakubidi kuinstall plugin ilikuweza kupata tv channel  waweza jifunza namna ya kuinstal plugin Bonyeza hapa
Jifunze namna ya kuangalia tv kwa smartphone yako au laptop Jifunze namna ya kuangalia tv kwa smartphone yako au  laptop Reviewed by Hyle Winza on 12:32:00 Rating: 5

No comments:

OUR LOGO

Copyright @2015 EdNel TZ. Theme images by caracterdesign. Powered by Blogger.