ads

UTUNDU:JINSI YA KUONGEZA SAUTI YA VLC PLAYER KUTOKA 200-300%

Moja ya vitu ambavyo huwa napenda kuhusu vlc player ni kwamba ni uwezo wa kuongeza sauti mpaka 200%.Kuangalia movie bila hearphones kwenye chumba ambacho kina kelele inaboa,lakini kwa kutumia vlc player unaweza ongeza sauti zaidi ya kawaida.kwa makusudi Video LAN ORGANIZATION,waliweza kutoa hii feature na kupunguza kiwango cha juu cha sauti mpaka  125% kwenye version ya 2.1.1
vlc-player
Watu wengi walimis sana uwezo huo wa sauti lakini kuna ujanja ambao unawza kuongeza sauti mpaka 300%
Ni rahisi sana kuongeza sauti mpaka 300%.fuata step zifuatazo
  1. Nenda  kwenye VLC Player bonyeza tools then preferences
vlc player
2.Chini show setting chagua kitufe cha All radio 
advanced settings
3. kwa upande wa kushoto sehemu iliyo andikwa  Main interfaces then chagua Qt
qt-settings-vlc
4.kwa upande wa kulia scroll chini mpaka kwenye kitufe na badili sauti ya juu
vlc-volume settings
sasa unaweza kubadili sauti kwa kiwango ambacho unataka mpaka 300%. asante geek nigeria kwa picha hizo
UTUNDU:JINSI YA KUONGEZA SAUTI YA VLC PLAYER KUTOKA 200-300% UTUNDU:JINSI YA KUONGEZA SAUTI YA VLC PLAYER KUTOKA 200-300% Reviewed by ENDBOY on 05:17:00 Rating: 5

No comments:

OUR LOGO

Copyright @2015 EdNel TZ. Theme images by caracterdesign. Powered by Blogger.